Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 3:10 - Swahili Revised Union Version

10 Mfalme wa Israeli akasema, Ole wetu! Kwani BWANA amewakutanisha hawa wafalme watatu, awaue mkononi mwa Moabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mfalme wa Israeli akapaza sauti, akasema, “Nini! Je, Mwenyezi Mungu ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mfalme wa Israeli akamaka, “Nini! Je, bwana ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Mfalme wa Israeli akasema, Ole wetu! Kwani BWANA amewakutanisha hawa wafalme watatu, awaue mkononi mwa Moabu.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 3:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imeniwia kubwa, haichukuliki.

Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hakuna nabii yeyote hapa wa BWANA ili tumwulize yeye shauri la BWANA? Akajibu mtumishi mmoja wa mfalme wa Israeli, akasema, Yupo hapa Elisha mwana wa Shafati, aliyekuwa akimimina maji juu ya mikono yake Eliya.

Basi mfalme wa Israeli akaenda, na mfalme wa Yuda, na mfalme wa Edomu; wakazunguka mwendo wa siku saba; wala hapakuwa na maji kwa jeshi, wala kwa wanyama waliowafuata.

Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?

Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA.

Wana wako wamezimia, Wamelala penye pembe za njia kuu zote Kama kulungu wavuni; Wamejaa hasira ya BWANA, Lawama ya Mungu wako.

Nao watapita katikati yake, wamedhikika sana na kuwa na njaa; na itakuwa watakapoona njaa, watalalamika na kuapa kwa mfalme wao, na kwa Mungu wao, na kuelekeza nyuso zao juu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo