2 Wafalme 24:11 - Swahili Revised Union Version11 Na Nebukadneza, mfalme wa Babeli, akaufikia huo mji, hapo watumishi wake walipokuwa wakiuhusuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wakati majeshi yalipokuwa yanauzingira mji, Nebukadneza mwenyewe alikuja Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wakati majeshi yalipokuwa yanauzingira mji, Nebukadneza mwenyewe alikuja Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wakati majeshi yalipokuwa yanauzingira mji, Nebukadneza mwenyewe alikuja Yerusalemu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Nebukadneza mwenyewe akaupandia mji wakati maafisa wake walipokuwa wameuzingira. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Nebukadneza mwenyewe akaupandia mji wakati maafisa wake walipokuwa wameuzunguka kwa jeshi. Tazama sura |