Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 24:10 - Swahili Revised Union Version

10 Wakati ule watumishi wa Nebukadneza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Wakati huo jeshi la Nebukadneza mfalme wa Babuloni, lilishambulia mji wa Yerusalemu na kuuzingira.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Wakati huo jeshi la Nebukadneza mfalme wa Babuloni, lilishambulia mji wa Yerusalemu na kuuzingira.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Wakati huo jeshi la Nebukadneza mfalme wa Babuloni, lilishambulia mji wa Yerusalemu na kuuzingira.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja kushambulia Yerusalemu, nao wakauzingira kwa jeshi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja ili kuishambulia Yerusalemu, nao wakaizunguka kwa jeshi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Wakati ule watumishi wa Nebukadneza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 24:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na Nebukadneza, mfalme wa Babeli, akaufikia huo mji, hapo watumishi wake walipokuwa wakiuhusuru.


Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake.


Basi mji huo ulihusuriwa hata mwaka wa kumi na moja wa mfalme Sedekia.


Na baadhi ya wana wako utakaowazaa, watakaotoka kwako, watawachukulia mbali; nao watakuwa matowashi katika jumba la mfalme wa Babeli.


BWANA akanionesha, na tazama, vikapu viwili vya tini, vimewekwa mbele ya hekalu la BWANA, baada ya Nebukadneza, mfalme wa Babeli, kumchukua mateka Yekonia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, na wakuu wa Yuda, pamoja na mafundi na wafua chuma, kutoka Yerusalemu, kuwaleta Babeli.


Israeli ni kondoo aliyetawanywa; simba wamemfukuzia mbali; kwanza mfalme wa Ashuru amemla, na mwisho Nebukadneza huyu, mfalme wa Babeli, amemvunja mifupa yake.


Basi, wewe mwanadamu, tabiri, ukapige makofi; upanga huo na uongezwe mara mbili, hata mara tatu; upanga wao waliotiwa jeraha kiasi cha kuwaua; ni upanga wa mkuu aliyetiwa jeraha kiasi cha kumwua; uwazungukao pande zote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo