2 Wafalme 19:16 - Swahili Revised Union Version16 Tega sikio lako, Ee BWANA, usikie; fumbua macho yako, Ee BWANA, uone; uyasikie maneno ya Senakeribu, ambayo amemtuma mtu aje nayo ili kumtukana Mungu aliye hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ee Mwenyezi-Mungu, fumbua macho uone, tega sikio lako, uyasikie matusi yote ambayo Senakeribu amepeleka kukutukana wewe Mungu uliye hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ee Mwenyezi-Mungu, fumbua macho uone, tega sikio lako, uyasikie matusi yote ambayo Senakeribu amepeleka kukutukana wewe Mungu uliye hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ee Mwenyezi-Mungu, fumbua macho uone, tega sikio lako, uyasikie matusi yote ambayo Senakeribu amepeleka kukutukana wewe Mungu uliye hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Tega sikio, Ee Mwenyezi Mungu, usikie; fungua macho yako, Ee Mwenyezi Mungu, uone; sikiliza maneno ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Tega sikio, Ee bwana, usikie; fungua macho yako, Ee bwana, uone; sikiliza maneno ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Tega sikio lako, Ee BWANA, usikie; fumbua macho yako, Ee BWANA, uone; uyasikie maneno ya Senakeribu, ambayo amemtuma mtu aje nayo ili kumtukana Mungu aliye hai. Tazama sura |