2 Wafalme 13:16 - Swahili Revised Union Version16 Akamwambia mfalme wa Israeli, Weka mkono wako katika uta; naye akaweka mkono wake juu yake. Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mfalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mfalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mfalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Al-Yasa akamwambia mfalme wa Israeli, “Shika upinde mikononi mwako.” Alipokwisha kuuchukua, Al-Yasa akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Al-Yasa akamwambia mfalme wa Israeli, “Shika upinde mikononi mwako.” Alipokwisha kuichukua, Al-Yasa akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme. Tazama sura |