Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 13:15 - Swahili Revised Union Version

15 Elisha akamwambia, Twaa uta na mishale; naye akatwaa uta na mishale.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Elisha akamwamuru, “Hebu lete upinde na mishale!” Yehoashi akavileta.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Elisha akamwamuru, “Hebu lete upinde na mishale!” Yehoashi akavileta.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Elisha akamwamuru, “Hebu lete upinde na mishale!” Yehoashi akavileta.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Al-Yasa akasema, “Leta upinde na baadhi ya mishale,” naye mfalme akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Al-Yasa akasema, “Leta upinde na baadhi ya mishale,” naye mfalme akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 13:15
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Elisha alikuwa ameshikwa na ugonjwa wake uliomwua; naye Yehoashi mfalme wa Israeli akateremka amtazame, akamlilia mbele yake, akasema, Baba yangu! Baba yangu! Gari la Israeli na wapanda farasi wake!

Akamwambia mfalme wa Israeli, Weka mkono wako katika uta; naye akaweka mkono wake juu yake. Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.

Alipotufikia akautwaa mshipi wa Paulo, akajifunga miguu na mikono, akasema, Roho Mtakatifu asema hivi, Hivyo ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mtu mwenye mshipi huu, nao watamtia katika mikono ya watu wa Mataifa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo