2 Wafalme 10:36 - Swahili Revised Union Version36 Na muda Yehu aliotawala juu ya Israeli katika Samaria ulikuwa miaka ishirini na minane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka ishirini na minane. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka ishirini na minane. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka ishirini na minane. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Muda Yehu aliotawala Israeli huko Samaria ulikuwa miaka ishirini na nane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Muda Yehu aliotawala juu ya Israeli huko Samaria ilikuwa miaka ishirini na minane. Tazama sura |