2 Timotheo 4:6 - Swahili Revised Union Version6 Kwa maana, mimi sasa namiminwa kama tambiko, na wakati wa kuondoka kwangu umefika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama sura |
Angalieni, mimi leo ninakwenda njia ile waendayo watu wote wa ulimwengu; nanyi nyote mnajua mioyoni mwenu, na rohoni mwenu, ya kuwa halikuwapungukia ninyi hata neno moja katika mambo hayo mema yote aliyoyanena BWANA, Mungu wenu, katika habari zenu; yote yametimia kwenu hapana neno lolote mlilopungukiwa.