2 Timotheo 2:8 - Swahili Revised Union Version8 Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mkumbuke Yesu Kristo aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, aliyekuwa wa ukoo wa Daudi, kama isemavyo Habari Njema ninayoihubiri, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mkumbuke Yesu Kristo aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, aliyekuwa wa ukoo wa Daudi, kama isemavyo Habari Njema ninayoihubiri, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mkumbuke Yesu Kristo aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, aliyekuwa wa ukoo wa Daudi, kama isemavyo Habari Njema ninayoihubiri, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mkumbuke Isa Al-Masihi aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, yeye aliye wa uzao wa Daudi. Hii ndiyo Injili yangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mkumbuke Isa Al-Masihi, aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, yeye aliye wa uzao wa Daudi. Hii ndiyo Injili yangu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu. Tazama sura |