2 Timotheo 2:7 - Swahili Revised Union Version7 Yatafakari sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uelewe kila kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uelewe kila kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uelewe kila kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Mwenyezi Mungu atakupa ufahamu katika mambo haya yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo hayo yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Yatafakari sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo yote. Tazama sura |