2 Samueli 7:20 - Swahili Revised Union Version20 Na mimi, Daudi, nikuambie nini tena zaidi? Iwapo wewe umemjua mtumishi wako, Ee Bwana MUNGU. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Nikuambie nini zaidi, mimi Daudi, mtumishi wako? Kwani wewe unanijua mimi mtumishi wako, ee Bwana Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Nikuambie nini zaidi, mimi Daudi, mtumishi wako? Kwani wewe unanijua mimi mtumishi wako, ee Bwana Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Nikuambie nini zaidi, mimi Daudi, mtumishi wako? Kwani wewe unanijua mimi mtumishi wako, ee Bwana Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 “Je, Daudi aweza kukuambia nini zaidi? Kwa maana unamjua mtumishi wako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 “Je, Daudi aweza kukuambia nini zaidi? Kwa maana unamjua mtumishi wako, Ee bwana Mwenyezi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na mimi, Daudi, nikuambie nini tena zaidi? Iwapo wewe umemjua mtumishi wako, Ee Bwana MUNGU. Tazama sura |