2 Samueli 7:17 - Swahili Revised Union Version17 Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi. Tazama sura |