2 Samueli 6:9 - Swahili Revised Union Version9 Naye Daudi akamwogopa BWANA siku ile; akasema, Litanijiaje sanduku la BWANA? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Daudi akamwogopa Mwenyezi Mungu siku ile, akasema, “Ni jinsi gani Sanduku la Mwenyezi Mungu litakavyoweza kunijia?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Daudi akamwogopa bwana siku ile, akasema, “Ni jinsi gani Sanduku la bwana litakavyoweza kunijia?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Naye Daudi akamwogopa BWANA siku ile; akasema, Litanijiaje sanduku la BWANA? Tazama sura |