2 Samueli 6:8 - Swahili Revised Union Version8 Daudi akaona uchungu kwa kuwa BWANA amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza hata leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Naye Daudi alikasirika kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alimwadhibu Uza kwa hasira. Hivyo, mahali hapo pakaitwa Peres-uza mpaka hivi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Naye Daudi alikasirika kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alimwadhibu Uza kwa hasira. Hivyo, mahali hapo pakaitwa Peres-uza mpaka hivi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Naye Daudi alikasirika kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alimwadhibu Uza kwa hasira. Hivyo, mahali hapo pakaitwa Peres-uza mpaka hivi leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya Mwenyezi Mungu ilifurika dhidi ya Uza, hivyo hadi leo mahali hapo panaitwa Peres-Uza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya bwana ilifurika dhidi ya Uza, hivyo hadi leo mahali hapo panaitwa Peres-Uza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Daudi akaona uchungu kwa kuwa BWANA amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza hata leo. Tazama sura |