2 Samueli 6:13 - Swahili Revised Union Version13 Hata ikawa, watu waliolichukua sanduku la BWANA walipokwisha kwenda hatua sita, akachinja fahali na ndama mnono. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: Fahali na ndama mmoja mnono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: Fahali na ndama mmoja mnono. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: fahali na ndama mmoja mnono. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wale waliokuwa wamebeba Sanduku la Mwenyezi Mungu walipotembea hatua sita, Daudi alitoa dhabihu fahali na ndama aliyenoneshwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wale waliokuwa wamebeba Sanduku la bwana walipokuwa wametembea hatua sita, Daudi alitoa dhabihu fahali na ndama aliyenoneshwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Hata ikawa, watu waliolichukua sanduku la BWANA walipokwisha kwenda hatua sita, akachinja fahali na ndama mnono. Tazama sura |