2 Samueli 3:34 - Swahili Revised Union Version34 Mikono yako haikufungwa, Wala miguu yako haikutiwa pingu; Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka. Na watu wote wakaongeza kumlilia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa pingu. Amekufa kama mtu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimlilia tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa pingu. Amekufa kama mtu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimlilia tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa pingu. Amekufa kama mtu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimlilia tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Mikono yako haikufungwa, miguu yako haikufungwa pingu. Ulianguka kama yeye aangukaye mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Mikono yako haikufungwa, miguu yako haikufungwa pingu. Ulianguka kama yeye aangukaye mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Mikono yako haikufungwa, Wala miguu yako haikutiwa pingu; Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka. Na watu wote wakaongeza kumlilia. Tazama sura |