Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 23:37 - Swahili Revised Union Version

37 na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Seleki Mwamoni; Naharai Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

37 na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

Tazama sura Nakili

2 Samueli 23:37
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na huyo mwana wa Sauli alikuwa na watu wawili, viongozi wa vikosi; jina lake mmoja akiitwa Baana, na jina la wa pili Rekabu wana wa Rimoni, Mbeerothi, wa wana wa Benyamini; (kwa maana Beerothi umehesabiwa kuwa wa Benyamini;

Hezro Mkarmeli, Paarai mwana wa Ezbai Mwarki;

Seleki Mwamoni, Naharai Mbeorothi, mchukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

Ndipo akamwita kwa haraka huyo kijana aliyekuwa anamchukulia silaha zake, na kumwambia, Futa upanga wako, uniue, ili watu wasiseme juu yangu, Aliuawa na mwanamke. Basi huyo kijana wake akamchoma upanga, naye akafa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo