2 Samueli 22:50 - Swahili Revised Union Version50 Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 “Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 “Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 “Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Kwa hiyo nitakusifu, Ee Mwenyezi Mungu, kati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Kwa hiyo nitakusifu, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI50 Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Tazama sura |