2 Samueli 22:25 - Swahili Revised Union Version25 Basi BWANA amenilipa kulingana na haki yangu; Kulingana na usafi wa mikono yangu mbele zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu, yeye anajua usafi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu, yeye anajua usafi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu, yeye anajua usafi wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Mwenyezi Mungu amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi BWANA amenilipa kulingana na haki yangu; Kulingana na usafi wa mikono yangu mbele zake. Tazama sura |