Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 22:19 - Swahili Revised Union Version

19 Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Mwenyezi Mungu alikuwa msaada wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini bwana alikuwa msaada wangu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 22:19
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akaniokoa na adui yangu mwenye nguvu, Na wale walionichukia; Maana walikuwa na nguvu kuliko mimi.


Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.


Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa.


usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kulia wa haki yangu.


Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la BWANA, na kumtegemea Mungu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo