2 Samueli 20:5 - Swahili Revised Union Version5 Amasa akaenda kuwakusanya watu wa Yuda; lakini akakawia zaidi ya huo muda aliowekewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, Amasa akaenda kuwaita watu wa Yuda. Lakini akachelewa kurudi katika wakati ule aliopangiwa na mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Amasa akaenda kuwaita watu wa Yuda. Lakini akachelewa kurudi katika wakati ule aliopangiwa na mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Amasa akaenda kuwaita watu wa Yuda. Lakini akachelewa kurudi katika wakati ule aliopangiwa na mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini Amasa alipoenda kuwaita Yuda, alichukua muda mrefu zaidi ya ule mfalme aliokuwa amemwekea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini Amasa alipokwenda kuwaita Yuda, alichukua muda mrefu zaidi ya ule mfalme aliokuwa amemwekea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Amasa akaenda kuwakusanya watu wa Yuda; lakini akakawia zaidi ya huo muda aliowekewa. Tazama sura |