Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 20:4 - Swahili Revised Union Version

4 Ndipo mfalme akamwambia Amasa, Uwakusanye pamoja kwangu kwa siku tatu watu wa Yuda, na uwepo wewe hapa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kisha, mfalme akamwambia Amasa, “Nikusanyie watu wote wa Yuda katika siku tatu, na wewe mwenyewe uwepo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kisha, mfalme akamwambia Amasa, “Nikusanyie watu wote wa Yuda katika siku tatu, na wewe mwenyewe uwepo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kisha, mfalme akamwambia Amasa, “Nikusanyie watu wote wa Yuda katika siku tatu, na wewe mwenyewe uwepo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ndipo mfalme akamwambia Amasa, “Waite wanaume wa Yuda waje kwangu katika muda wa siku tatu, nawe mwenyewe uwepo hapa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ndipo mfalme akamwambia Amasa, “Waite watu wa Yuda waje kwangu katika muda wa siku tatu, nawe mwenyewe uwepo hapa.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Ndipo mfalme akamwambia Amasa, Uwakusanye pamoja kwangu kwa siku tatu watu wa Yuda, na uwepo wewe hapa.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 20:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Absalomu akamweka Amasa awe juu ya jeshi mahali pa Yoabu. Basi huyo Amasa alikuwa mwana wa mtu, jina lake Yetheri, Mwishmaeli, aliyeingia kwa Abigali, binti Nahashi, nduguye Seruya, mamaye Yoabu.

Kisha mkamwambie Amasa, Je! Si wewe uliye mfupa wangu, na nyama yangu? Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, usipokuwa wewe jemadari wa jeshi mbele yangu daima mahali pa Yoabu.

Akawainamisha mioyo watu wote wa Yuda, kama mtu mmoja; basi wakatuma kwa mfalme, Rudi wewe na watumishi wako wote.

Na Abigaili akamzaa Amasa; na babaye Amasa ni Yetheri, Mwishmaeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo