Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 17:3 - Swahili Revised Union Version

3 na hao watu wote nitawarejesha kwako; kama bibi arusi anavyorudi nyumbani kwa mumewe. Kurudi kwa yule mtu umtafutaye ni kana kurudi kwa wote; maana watu wote watakuwa katika amani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibiarusi anavyokwenda nyumbani kwa mumewe. Wewe unayatafuta maisha ya mtu mmoja tu; na watu wengine watakuwa na amani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibiarusi anavyokwenda nyumbani kwa mumewe. Wewe unayatafuta maisha ya mtu mmoja tu; na watu wengine watakuwa na amani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibiarusi anavyokwenda nyumbani kwa mumewe. Wewe unayatafuta maisha ya mtu mmoja tu; na watu wengine watakuwa na amani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 na kuwarudisha watu wote kwako. Kifo cha mtu yule unayemtafuta kitamaanisha kurudi kwa wote, hakuna hata mtu mmoja atakayeumizwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 na kuwarudisha watu wote kwako. Kifo cha mtu yule unayemtafuta kitamaanisha kurudi kwa wote, hakuna hata mtu mmoja atakayeumizwa.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 na hao watu wote nitawarejesha kwako; kama bibi harusi anavyorudi nyumbani kwa mumewe. Kurudi kwa yule mtu umtafutaye ni kama kurudi kwa wote; maana watu wote watakuwa katika amani.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 17:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Shauri hili likawa jema machoni pa Absalomu, na machoni pa wazee wote wa Israeli.

Kisha Abneri akamwambia Daudi, Nitaondoka, niende zangu; nami nitamkusanyia bwana wangu mfalme Israeli wote, ili wafanye agano nawe, ukamiliki juu ya wote inaowatamani roho yako. Basi Daudi akamruhusu Abneri; naye akaenda zake kwa amani.

Hapana amani kwa waovu, asema BWANA.

Hapana amani kwa waovu; asema Mungu wangu.

Wameliponya jeraha la watu wangu kwa juu juu tu, wakisema, Amani, Amani, wala hapana amani.

Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, kama vile uchungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo