2 Samueli 16:12 - Swahili Revised Union Version12 Labda BWANA atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye BWANA atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Inawezekana kwamba Mwenyezi Mungu ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Inawezekana kwamba bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Labda BWANA atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye BWANA atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo. Tazama sura |