2 Samueli 15:29 - Swahili Revised Union Version29 Basi Sadoki na Abiathari wakalichukua sanduku la Mungu, wakalirudisha Yerusalemu; wakakaa huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la agano la Mungu mjini Yerusalemu, wakabaki humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la agano la Mungu mjini Yerusalemu, wakabaki humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la agano la Mungu mjini Yerusalemu, wakabaki humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakarudisha Sanduku la Mungu hadi Yerusalemu na kukaa huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakarudisha Sanduku la Mungu mpaka Yerusalemu na kukaa huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Basi Sadoki na Abiathari wakalichukua sanduku la Mungu, wakalirudisha Yerusalemu; wakakaa huko. Tazama sura |