Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 14:29 - Swahili Revised Union Version

29 Ndipo Absalomu akatuma Yoabu aitwe, amtume kwa mfalme, lakini yeye akakataa kumjia; akatuma tena mara ya pili, lakini akakataa kuja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kisha, Absalomu alimtumia ujumbe Yoabu, ili aende kwa mfalme kwa niaba yake, lakini Yoabu akakataa. Absalomu akatuma ujumbe mara ya pili lakini Yoabu akakataa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kisha, Absalomu alimtumia ujumbe Yoabu, ili aende kwa mfalme kwa niaba yake, lakini Yoabu akakataa. Absalomu akatuma ujumbe mara ya pili lakini Yoabu akakataa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kisha, Absalomu alimtumia ujumbe Yoabu, ili aende kwa mfalme kwa niaba yake, lakini Yoabu akakataa. Absalomu akatuma ujumbe mara ya pili lakini Yoabu akakataa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Basi Absalomu akamtumania Yoabu kwa kusudi la kumtuma kwa mfalme, lakini Yoabu akakataa kuja kwa Absalomu. Ndipo akamtumania mara ya pili, lakini pia akakataa kuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Basi Absalomu akamwita Yoabu kwa kusudi la kumtuma kwa mfalme, lakini Yoabu akakataa kuja kwa Absalomu. Ndipo akamwita tena mara ya pili, lakini pia akakataa kuja.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 Ndipo Absalomu akatuma Yoabu aitwe, amtume kwa mfalme, lakini yeye akakataa kumjia; akatuma tena mara ya pili, lakini akakataa kuja.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 14:29
4 Marejeleo ya Msalaba  

Absalomu akakaa miaka miwili mizima katika Yerusalemu; asimwone uso mfalme.

Bali Vashti, malkia, hakutii amri ya mfalme, alikataa kuja kama alivyoamriwa na mfalme kupitia kwa matowashi; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.

Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo