Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 14:10 - Swahili Revised Union Version

10 Mfalme akasema, Yeyote atakaye kuambia neno, mlete kwangu, naye hatakugusa tena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mfalme akamwambia, “Mtu yeyote akikutishia mlete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mfalme akamwambia, “Mtu yeyote akikutishia mlete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mfalme akamwambia, “Mtu yeyote akikutishia mlete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mfalme akajibu, “Ikiwa mtu yeyote atakusemesha lolote, mlete kwangu, naye hatakusumbua tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mfalme akajibu, “Ikiwa mtu yeyote atakusemesha lolote, mlete kwangu, naye hatakusumbua tena.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Mfalme akasema, Yeyote atakaye kuambia neno, mlete kwangu, naye hatakugusa tena.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 14:10
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akajibu, Nakusihi, mfalme na amkumbuke BWANA, Mungu wako, ili mlipiza kisasi cha damu asizidi kuharibu, wasije kumharibu mwanangu. Naye akasema, Aishivyo BWANA, hautaanguka chini hata unywele mmoja wa mwanao.

Ndipo huyo mwanamke wa Tekoa akamwambia mfalme, Na uwe juu yangu, Ee bwana wangu mfalme, na juu ya nyumba ya baba yangu uovu huu; wala kwa mfalme na kwa kiti chake cha enzi pasiwepo hatia.

Ndipo mfalme akamwambia Siba, Tazama, yote yaliyokuwa ni mali ya Mefiboshethi ni yako. Siba akasema, Mimi ninasujudu; na nione kibali machoni pako, Ee bwana wangu, mfalme.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo