2 Samueli 12:29 - Swahili Revised Union Version29 Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa. Tazama sura |