2 Samueli 12:15 - Swahili Revised Union Version15 Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa mgonjwa sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kisha Nathani akarudi nyumbani kwake. Mwenyezi-Mungu alimpiga mtoto ambaye Bathsheba mkewe Uria alimzalia Daudi, naye akawa mgonjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kisha Nathani akarudi nyumbani kwake. Mwenyezi-Mungu alimpiga mtoto ambaye Bathsheba mkewe Uria alimzalia Daudi, naye akawa mgonjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kisha Nathani akarudi nyumbani kwake. Mwenyezi-Mungu alimpiga mtoto ambaye Bathsheba mkewe Uria alimzalia Daudi, naye akawa mgonjwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Baada ya Nathani kurudi nyumbani mwake, Mwenyezi Mungu akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Baada ya Nathani kurudi nyumbani kwake, bwana akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa mgonjwa sana. Tazama sura |