1 Yohana 2:9 - Swahili Revised Union Version9 Yeye asemaye kwamba yumo katika nuru, naye amchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Yeye asemaye kwamba yumo katika nuru, naye amchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa. Tazama sura |