1 Yohana 2:10 - Swahili Revised Union Version10 Yeye ampendaye ndugu yake, akaa katika nuru, wala ndani yake hamna kikwazo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Yeyote ampendaye ndugu yake yuko katika mwanga, na hamna chochote ndani yake kiwezacho kumkwaza mtu mwingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Yeyote ampendaye ndugu yake yuko katika mwanga, na hamna chochote ndani yake kiwezacho kumkwaza mtu mwingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Yeyote ampendaye ndugu yake yuko katika mwanga, na hamna chochote ndani yake kiwezacho kumkwaza mtu mwingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Yeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Yeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Yeye ampendaye ndugu yake, akaa katika nuru, wala ndani yake hamna kikwazo. Tazama sura |