Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wakorintho 2:2 - Swahili Revised Union Version

2 Maana niliazimu nisijue neno lolote kwenu ila Yesu Kristo, na yeye aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote nilipokuwa nanyi, isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Maana niliazimu nisijue neno lolote kwenu ila Yesu Kristo, na yeye aliyesulubiwa.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 2:2
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulubiwa?

Lakini mimi, la hasha, nisione fahari juu ya kitu chochote ila msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambao kwa huo ulimwengu umesulubishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo