1 Wakorintho 2:16 - Swahili Revised Union Version16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Bwana Isa ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo. Tazama sura |