1 Wakorintho 1:15 - Swahili Revised Union Version15 mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. ( Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. ( Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. ( Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu. Tazama sura |