1 Wafalme 9:2 - Swahili Revised Union Version2 basi, BWANA akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwenyezi Mungu akamtokea mara ya pili, vile alivyomtokea huko Gibeoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 bwana akamtokea mara ya pili, kama alivyokuwa amemtokea huko Gibeoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 basi, BWANA akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni. Tazama sura |