1 Wafalme 9:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sulemani alipomaliza kujenga Hekalu la Mwenyezi Mungu na jumba la kifalme, na alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sulemani alipomaliza kujenga Hekalu la bwana na jumba la kifalme, alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya, Tazama sura |