Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 7:3 - Swahili Revised Union Version

3 Ikafunikwa juu kwa mwerezi juu ya mihimili arubaini na mitano, iliyokuwa juu ya nguzo; kumi na mitano kwa safu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kila safu ilikuwa na nguzo 15; basi zote pamoja zilikuwa nguzo 45. Vyumba vilivyojengwa juu ya nguzo hizo, alivitilia dari ya mbao za mierezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kila safu ilikuwa na nguzo 15; basi zote pamoja zilikuwa nguzo 45. Vyumba vilivyojengwa juu ya nguzo hizo, alivitilia dari ya mbao za mierezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kila safu ilikuwa na nguzo 15; basi zote pamoja zilikuwa nguzo 45. Vyumba vilivyojengwa juu ya nguzo hizo, alivitilia dari ya mbao za mierezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Lilipauliwa kwa mbao za mwerezi juu ya boriti arobaini na tano zilizolalia nguzo, boriti kumi na tano kwa kila safu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ilipauliwa kwa mierezi juu ya boriti zile zilizolala juu ya nguzo arobaini na tano, kumi na tano kwa kila safu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Ikafunikwa juu kwa mwerezi juu ya mihimili arobaini na mitano, iliyokuwa juu ya nguzo; kumi na mitano kwa safu.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 7:3
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nao ukuta wa nyumba akauzungushia vyumba, kushikamana na kuta za nyumba kotekote, za hekalu na za chumba cha ndani; akafanya vyumba vya mbavuni pande zote.

Kisha alijenga nyumba ya msitu wa Lebanoni; mikono mia moja urefu wake, na mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake, juu ya safu nne za nguzo za mwerezi, na mihimili ya mwerezi juu ya nguzo.

Na madirisha yalikuwako safu tatu, mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo