1 Wafalme 7:11 - Swahili Revised Union Version11 Na juu kulikuwa na mawe ya thamani, mawe ya kuchongwa, kulingana na cheo, na mierezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo maalumu, na kwa mbao za mierezi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo maalumu, na kwa mbao za mierezi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo maalumu, na kwa mbao za mierezi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Sehemu za juu kulikuwa na boriti za mwerezi, na mawe yenye ubora wa hali ya juu, yaliyokatwa kwa vipimo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Sehemu za juu kulikuwepo na mawe yenye ubora wa hali ya juu, yaliyokatwa kwa vipimo na boriti za mierezi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na juu kulikuwa na mawe ya thamani, mawe ya kuchongwa, kulingana na cheo, na mierezi. Tazama sura |