1 Wafalme 7:10 - Swahili Revised Union Version10 Nao msingi ulikuwa wa mawe ya thamani, mawe makubwa, mawe mikono kumi, na mawe ya mikono minane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Msingi ulikuwa wa mawe ya thamani na makubwa yenye urefu wa mita 3.5, na upana mita 4.5. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Msingi ulikuwa wa mawe ya thamani na makubwa yenye urefu wa mita 3.5, na upana mita 4.5. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Msingi ulikuwa wa mawe ya thamani na makubwa yenye urefu wa mita 3.5, na upana mita 4.5. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Misingi ilijengwa kwa mawe makubwa yaliyo bora, yenye urefu wa dhiraa kumi, na mengine urefu wa dhiraa nane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Misingi iliwekwa kwa mawe makubwa yaliyo bora, yenye urefu wa dhiraa kumi na mengine yenye urefu wa dhiraa nane Tazama sura |