Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 7:1 - Swahili Revised Union Version

1 Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ilimchukua Sulemani miaka kumi na tatu kukamilisha ujenzi wa jumba lake la kifalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ilimchukua Sulemani miaka kumi na mitatu kukamilisha ujenzi wa Jumba lake la kifalme.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 7:1
7 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo Sulemani akafanya ujamaa na Farao, mfalme wa Misri, akamwoa binti yake Farao, akamleta mjini mwa Daudi, hata alipokwisha kuijenga nyumba yake, na nyumba ya BWANA, na ukuta wa kuuzunguka Yerusalemu.


Na katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, kulingana na kanuni zote. Basi muda wa miaka saba alikuwa katika kuijenga.


Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,


Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alizijenga zile nyumba mbili, nyumba ya BWANA na nyumba yake mfalme,


Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani aliijenga nyumba ya BWANA, na nyumba yake mwenyewe;


Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo