1 Wafalme 6:26 - Swahili Revised Union Version26 Kwenda juu kwake kerubi moja kulikuwa mikono kumi, na kerubi la pili vivyo hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Urefu wa kiumbe mmoja ulikuwa mita 4.5; pia urefu wa kiumbe mwingine ulikuwa uleule. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Urefu wa kiumbe mmoja ulikuwa mita 4.5; pia urefu wa kiumbe mwingine ulikuwa uleule. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Urefu wa kiumbe mmoja ulikuwa mita 4.5; pia urefu wa kiumbe mwingine ulikuwa uleule. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kimo cha kila kerubi kilikuwa dhiraa kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kimo cha kila kerubi kilikuwa dhiraa kumi. Tazama sura |