1 Wafalme 6:25 - Swahili Revised Union Version25 Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili walikuwa ya cheo kimoja na namna moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, kwa kuwa makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, hivyo makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili yalikuwa ya cheo kimoja na namna moja. Tazama sura |