Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 5:4 - Swahili Revised Union Version

4 Ila leo BWANA, Mungu wangu, amenipa amani kila upande; hakuna adui, wala tukio baya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Lakini sasa Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, amenipa utulivu kila upande hakuna adui wala maafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Lakini sasa bwana Mwenyezi Mungu wangu amenipa utulivu kila upande hakuna adui wala maafa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Ila leo BWANA, Mungu wangu, amenipa amani kila upande; hakuna adui, wala tukio baya.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 5:4
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake?


Naye akawa adui wa Israeli siku zote za Sulemani, zaidi ya madhara yake Hadadi; naye akawachukia Israeli, akamiliki juu ya Shamu.


Kwani alikuwa akitawala nchi yote upande huu wa Mto, toka Tifsa mpaka Gaza, juu ya wafalme wote wa upande huu wa Mto; naye alikuwa na amani pande zake zote.


Na waashi wa Sulemani na waashi wa Hiramu na Wagebali wakayachonga, wakaweka tayari miti na mawe ya kuijenga nyumba.


Akawapiga Wafilisti mpaka Gaza na mipaka yake, tangu mnara wa walinzi hata mji wenye boma.


tazama, utapata mwana, atakayekuwa mtu wa amani; nami nitampa amani mbele ya adui zake pande zote; kwani jina lake litakuwa Sulemani, nami nitawapa Israeli amani na utulivu siku zake;


Tena walikuwako wafalme wakuu juu ya Yerusalemu, waliotawala nchi yote iliyo ng'ambo ya Mto; wakapewa kodi, na ada, na ushuru.


Haki na isitawi wakati wa maisha yake yote, Nayo amani iwepo, hadi mwezi utakapokoma.


Mamlaka ya enzi yake yatakuzwa daima, Na kutakuwa na amani isiyo na mwisho, Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake; Kuuthibitisha na kuutegemeza Kwa hukumu na kwa haki, Tangu sasa na hata milele. Wivu wa BWANA wa majeshi ndio utakaotenda hayo.


Basi kanisa likapata raha kote katika Yudea na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Ashdodi, na miji yake na vijiji vyake; Gaza, na miji yake na vijiji vyake; mpaka kijito cha Misri, na bahari kuu na pwani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo