1 Wafalme 5:3 - Swahili Revised Union Version3 Wajua kuwa Daudi baba yangu hakuweza kujenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wake, kwa sababu ya vita vilivyomzunguka pande zote, hata BWANA alipowatia watu chini ya nyayo zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Wajua kwamba baba yangu Daudi hakuweza kumjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, hekalu la kumwabudia, kwa sababu ya kukumbana na vita vingi dhidi ya maadui wa nchi jirani mpaka hapo Mwenyezi-Mungu alipompatia ushindi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Wajua kwamba baba yangu Daudi hakuweza kumjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, hekalu la kumwabudia, kwa sababu ya kukumbana na vita vingi dhidi ya maadui wa nchi jirani mpaka hapo Mwenyezi-Mungu alipompatia ushindi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Wajua kwamba baba yangu Daudi hakuweza kumjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, hekalu la kumwabudia, kwa sababu ya kukumbana na vita vingi dhidi ya maadui wa nchi jirani mpaka hapo Mwenyezi-Mungu alipompatia ushindi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Unajua kwamba baba yangu Daudi hakuweza kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wake, kwa sababu ya vita vilivyopiganwa dhidi yake kutoka pande zote, hadi Mwenyezi Mungu alipowaweka adui zake chini ya miguu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Unajua kwamba kwa sababu ya vita vilivyopiganwa dhidi ya baba yangu Daudi kutoka pande zote, hakuweza kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la bwana Mwenyezi Mungu wake, hadi bwana alipowaweka adui zake chini ya miguu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Wajua kuwa Daudi baba yangu hakuweza kujenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wake, kwa sababu ya vita vilivyomzunguka pande zote, hata BWANA alipowatia watu chini ya nyayo zake. Tazama sura |
Kisha ikawa hapo walipomletea Yoshua hao wafalme watano hapo nje, Yoshua akawaita wanaume wote wa Israeli, akawaambia majemadari wa watu wa vita waliokwenda naye, Haya, jongeeni karibu, mweke nyayo za miguu yenu katika shingo za wafalme hawa. Nao wakajongea karibu, wakatia nyayo zao katika shingo zao.