1 Wafalme 4:10 - Swahili Revised Union Version10 Mwana wa Hesedi, katika Arubothi; na Soko ilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Mwana wa Hesedi, katika Arubothi na Soko lilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi. Tazama sura |