1 Wafalme 21:26 - Swahili Revised Union Version26 Akachukiza mno, kwa kuzifuata sanamu sawasawa na yote waliyoyafanya Waamori, BWANA aliowafukuza mbele ya wana wa Israeli.) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama walivyofanya Waamori ambao hapo awali Mwenyezi-Mungu aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama walivyofanya Waamori ambao hapo awali Mwenyezi-Mungu aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama walivyofanya Waamori ambao hapo awali Mwenyezi-Mungu aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Alitenda uovu sana kwa kuzifuata sanamu, kama Waamori ambao Mwenyezi Mungu aliowafukuza mbele ya Israeli.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Alitenda kwa uovu sana katika kuabudu sanamu, kama wale Waamori ambao bwana aliowafukuza mbele ya Israeli.) Tazama sura |