1 Wafalme 20:8 - Swahili Revised Union Version8 Wakamwambia wazee wote na watu wote, Usisikie, wala usikubali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wazee na watu wote wakamwambia, “Usimjali wala usikubali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wazee na watu wote wakamwambia, “Usimjali wala usikubali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wazee na watu wote wakamwambia, “Usimjali wala usikubali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wazee na watu wote wakajibu, “Usimsikilize, wala usiyakubali matakwa yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wazee na watu wote wakajibu, “Usimsikilize, wala usiyakubali matakwa yake.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Wakamwambia wazee wote na watu wote, Usisikie, wala usikubali. Tazama sura |