1 Wafalme 2:41 - Swahili Revised Union Version41 Naye Sulemani akaambiwa, ya kwamba Shimei alikuwa ametoka Yerusalemu kwenda Gathi, na kurudi tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Mfalme Solomoni alipopata habari kwamba Shimei alikuwa ametoka Yerusalemu, akaenda Gathi na kurudi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Mfalme Solomoni alipopata habari kwamba Shimei alikuwa ametoka Yerusalemu, akaenda Gathi na kurudi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Mfalme Solomoni alipopata habari kwamba Shimei alikuwa ametoka Yerusalemu, akaenda Gathi na kurudi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Sulemani alipoambiwa kuwa Shimei ametoka Yerusalemu na kwenda Gathi na amekwisha kurudi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Sulemani alipoambiwa kuwa Shimei ametoka Yerusalemu na kwenda Gathi na amekwisha kurudi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Naye Sulemani akaambiwa, ya kwamba Shimei alikuwa ametoka Yerusalemu kwenda Gathi, na kurudi tena. Tazama sura |