Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 2:13 - Swahili Revised Union Version

13 Ndipo Adonia mwana wa Hagithi akaja kwa Bathsheba mamaye Sulemani. Naye akasema, Je! Umekuja kwa amani?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Baadaye, Adoniya mwana wa Hagithi, alimwendea Bathsheba, mama yake Solomoni. Bathsheba akamwuliza, “Je, unakuja kwa amani?” Adoniya akamjibu, “Ndiyo, nakuja kwa amani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Baadaye, Adoniya mwana wa Hagithi, alimwendea Bathsheba, mama yake Solomoni. Bathsheba akamwuliza, “Je, unakuja kwa amani?” Adoniya akamjibu, “Ndiyo, nakuja kwa amani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Baadaye, Adoniya mwana wa Hagithi, alimwendea Bathsheba, mama yake Solomoni. Bathsheba akamwuliza, “Je, unakuja kwa amani?” Adoniya akamjibu, “Ndiyo, nakuja kwa amani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Basi Adoniya, mwana wa Hagithi, akaenda kwa Bathsheba, mama yake Sulemani. Bathsheba akamuuliza, “Je, umekuja kwa amani?” Akajibu, “Ndiyo, kwa amani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Basi Adoniya, mwana wa Hagithi, akaenda kwa Bathsheba, mama yake Sulemani. Bathsheba akamuuliza, “Je, umekuja kwa amani?” Akajibu, “Ndiyo, kwa amani.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Ndipo Adonia mwana wa Hagithi akaja kwa Bathsheba mamaye Sulemani. Naye akasema, Je! Umekuja kwa amani?

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 2:13
9 Marejeleo ya Msalaba  

na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;

Ndipo Nathani akamwambia Bathsheba, mamaye Sulemani, akasema, Je! Hukusikia ya kuwa Adonia, mwana wa Hagithi, amekuwa mfalme, na bwana wetu Daudi hana habari?

Naye akajibu, Kwa amani. Tena akasema, Nina jambo ninalotaka kukuambia. Naye akamwambia, Sema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo