Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 18:8 - Swahili Revised Union Version

8 Akamjibu, Ni mimi. Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Ilya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako, ‘Ilya yuko hapa.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Ilya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako Ahabu, ‘Ilya yuko hapa.’ ”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Akamjibu, Ni mimi. Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 18:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa juu ya nyumba yake; (na huyu Obadia alikuwa mwenye kumcha BWANA sana;

Na Obadia alipokuwa njiani, kumbe! Eliya akakutana naye. Akamtambua, akaanguka kifudifudi, akanena, Je! Ni wewe, bwana wangu Eliya?

Akamwambia, Nimekosa nini, hata unitie mimi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu, aniue?

Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo